Monday, December 12, 2016

Project and field reports

Hii ni kwa wale watu wa project na field reports walioleta kazi zao kwa bwana  jerry(IFEMA),wanataarifiwa kuwa kazi zao zote zimekamilika kwa faculties zote,so wanakumbushwa kuja kuzicheki mapema,na pia tunakaribisha watu wengine ambao wanahitaji kusaidiwa kuandika project and field reports mapema zaidi kwani muda umeisha.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia number 0716323530.

No comments:

Post a Comment