Thursday, December 15, 2016

lissa_collection_dodoma

Lissa Collection Dodoma!!,. wauzaji wa nguo, viatu na mikoba design tofauti na latest kwa jumla na rejareja... Dodoma wanapatikana soko la Rehema Nchimbi, nyuma ya Kimbinyiko Bus Stand.. frame no. 196
Badilisha muonekano wako, kua wa tofauti, kua unique...
∆ unaweza kutupata kwa social network
   -instagram
lissa_collection_dodoma
au nambari zifuatazo;
    -0713 64 84 04
                        -KARIBUNI-

Sandals 17 (one seven)

Sandals 17 kwa bei nafuu zinapatikana kwa wakazi wa Dodoma tu kwa sasa mzigo unakufkia mpaka ulipo.. unaweza wasiliana nasi kupitia nambari zifuatazo 0672599416

Tuesday, December 13, 2016

Atupelye mkocha kwenye shindano kubwa africa

Licha ya atupelye mkocha kuendelea kufanya vizuri katika mashindano makubwa africa ya Cocoafrica fashion,bado anahitaji kura zenu kwa kulike picha yake kwenye ukurasa wa insta wa @cocoafrica kama the best wear2016 kupitia link ifuatayo,  https://www.instagram.com/p/BN00w69hdyK/ hivo kwa kufavya ivo Atupelye atafanikiwa kuwa mshindi na kutuwakilisha vizuri,
Mfollow instagram as previous_a2

Monday, December 12, 2016

Project and field reports

Hii ni kwa wale watu wa project na field reports walioleta kazi zao kwa bwana  jerry(IFEMA),wanataarifiwa kuwa kazi zao zote zimekamilika kwa faculties zote,so wanakumbushwa kuja kuzicheki mapema,na pia tunakaribisha watu wengine ambao wanahitaji kusaidiwa kuandika project and field reports mapema zaidi kwani muda umeisha.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia number 0716323530.

Tuesday, December 6, 2016

T-shirt Designing

Sasa unauwezo wa kuifanya T-shirt yako kuzungumza hisia zako. G. O. G Klasic Mavazi wataalam wa ku design maneno unayotaka kuyaweka kwenye T-shirt kwa Gharama nafuu, pia tuna design labels n postaz!! Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa nambari zifuatazo
0718 84 44 47

Friday, December 2, 2016

Alizeti

kwa wale watumiaj alizet katika shughuli mbalimbali za uzalishaji sasa unaweza pata alizeti nzuri kwa bei poa kabisa inauzwa kuanzia nusu ton (500kgs), ton 1 (1000kgs) na kuendelea being zetu ni nafuu.. tunapatikana Dodoma Ila hata wa mikoan mnaweza pata huduma zetu... kwa mawasiliano unaweza tupata kupitia nambari 0672599416

Wednesday, November 16, 2016

Mafuta halisi ya Alizeti PURE ONE OIL

Nunua mafuta halisi ya Alizeti kutoka kampuni ya PURE ONE OIL kwa jumla na Reja Reja popote ulipo kwa gharama nafuu. Unaweza kununua mafuta ya Pure One Oil kwa kutoa Order kupitia nambari 0716323530 Tunapatikana Tanzania Nzima